test ad

Monday, February 22, 2016

blog ya CCM na UKAWA uchambuzi wa siasa toka kwa watalaam wa siasa

Hii ni blog ya uchambuzi wa siasa kati ya chama tawala yaani Chama cha mapinduzi na Ukawa muuunganiko wa vyama pinzani Chadema, NCCR na vinginevyo. Tunachambua siasa kama wasomi wa siasa na sio mashabiki tu. Jidhihirishe kama ewe ni nguli za siasa kwa kuadika uchambuzi wako hapa kuhusu chama cha CCM na wapinzani.

Jinsi ya kuandika nenda sehemu unayoandikia ujumbe wa email kama yahoo au gmail kisha andika uchambuzi wako kama ujumbe kisha tuma kenda: ijuekompyuta.siasa@blogger.com na uchambuzi wako utakuja hapa moja kwa moja muda huo huo. Jaribu uone.