Teknolojia imekuja africa tukiitumia vizuri lazima tutajirike kama wanavyotajirika waliogundua mitandao ya whatsapp, twitter, facebook na mitandao mingine ya kijamii.
Wewe umekuwa ukitumia mitandao hiyo yote au moja wapo ya mitandao hiyo unatumia bure lakini unawatajirisha wamiliki wa mitandao hiyo kila ukiwa online.
Sasa kuna mtandao mpya umeanzishwa na watu tayari wanafaidika nao. Ni mtandao wa kutumiana ujumbe kama ulivyozoea ukiwa whatsapp lakini tofauti ya mtandao huu mpya ni kwamba unalipwa ukiwa unatumia mtandao huo
Vigezo ni kuwa na group kisha kuwa admin mwenye busara na kuongoza group lako. Unalipwa pindi group lako litakapokuwa limafikisha members 200 tu pamoja na wewe na mhasibu wa mtandao huo inamana kazi yako ni kuadd members mpaka wafike 200 kisha unasubiri malipo.
Ni rahisi sana wapo watu wanaofanikiwa kuunda group kwenye mtandao huo na kupata watu 200 ndani ya siku mbili na kulipwa. swali litakuwa je mtu analipwa shilingi ngapi kwa group moja. Jibu ni kwamba malipo ni shilingi za kitanzania elfu 40 kwa group moja pia unaruhusiwa kuunda group zaidi ya moja ila members wasijirudie rudie kwenye magroup yako.
Anza sasa kunufaika kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Mtandao unaokulipa unaitwa wasapu kama uonavyo kwenye picha. Download app hiyo kisha weka kwenye simu yako na uanze kulipwa Bonyeza hapa kudownload kama unasoma makala hii kwa kutumia simu ya smartphone androids
Ukishadownload na kuweka kwenye simu yako kuna mtoa huduma yupo online atakusaidia kwa kila kitu. Share story hii nzuri na marafiki bofya alama za kushare hapo chini
No comments:
Post a Comment
Weka maoni yako hapa, sema na wanasiasa wenzako live